Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Ect 519: Language Education (Kozi Na Ufundishaji)  Question Paper

Ect 519: Language Education (Kozi Na Ufundishaji)  

Course:Master Of Arts

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2008



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2007/2008
INSTITUTIONAL BASED PROGRAM
EXAMINATION FOR THE DEGREE OF MASTER OF ARTS

ECT 519: LANGUAGE EDUCATION (KOZI NA UFUNDISHAJI)

DATE: Wednesday 27th August, 2008_______________TIME: 9.00am-12.00pm
JIBU MASWALI MANNE.

1.
Mtazamo wa kisasa katika ufundishaji wa insha ulijitokeza kufidha upungufu wa
mtazamo wa kimapokezi. Jadili.

2.
Jadili nafasi ya mbinifu wa mwalimu katika kufunza na kufanikisha somo lake
darasani. Toa ithibati.

3.
Vyombo vya habari kama nyenzo za ujifunzaji wa lugha vimeleta changamoto
kwa waalimu wa Kiswahili darasani. Jadili.

4.
“Sera ya lugha ya kufunza madarasa ya 1 – 3 kwa lugha za mama nchini Kenya
haijafanikiwa”. Fafanua na utoe mifano faafu.

5.
“Silabasi ni muongozo tu wa mwalimu”. Tathmini hoja hii na utoe ithibati ya
hoja zako.

6.
Tathmini hoja ya kuwa matokeo mazuri ya mtihani ni kigezo cha pekee cha
kupimia ujuzi na weledi wa mwalimu katika ufundishaji wake.

7.
Eleza kwa tafsili jinsi muelekeo na motisha vinavyoathiri ujifunzaji na ufundishaji






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers