Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Aks 301: Kiswahili Structure Question Paper

Aks 301: Kiswahili Structure 

Course:Bachelor Of Arts In Kiswahili And Communication

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2005



KENYATTA UNIVERSITY
SELF-SPONSORED PROGRAMMES (SCHOOL BASED)

APRIL SESSION EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS

AKS 301: KISWAHILI STRUCTURE

JIBU MASWALI MATATU: SWALI KA KWANZA NI LA LAZIMA.

1. Eleza maana na matumizi ya sarufi kwa mujibu ya wanasarufi mbalimbali.

2. Jadili aina mbalimbali za vivumishi vya Kiswahili, kwa kutoa mifano muafaka ya sentensi.

3. Eleza vipengele vitatu vya kitenzi cha Kiswahili na utoe mifano ifaayo.

4. Jadili na utoe mifano ya miundo mbalimbali ya Kikundi-Nomino.

5. Fafanua kwa ufupi dhana zifuatazo:
a. Shamirisho
b. Chagizo
c. Mzizi
d. Kiishio

6. Tofautisha aina zifuatazo za sentensi:

a. Sentensi ambatano
b. Sentensi changamano
c. Sentensi sahili.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers