Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Aks303:Riwaya Na Tamthilia Ya Kisasa Question Paper

Aks303:Riwaya Na Tamthilia Ya Kisasa 

Course:Bachelor Of Arts

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2017



KENYATTA UNIVERSITY EXAMINATIONS 2016/2017
SECOND SEMESTER EXAMINATION FO THE DEGREE OF BACHELOR ARTS
AKS303:RIWAYA YA TAMTHILIA YA KISASA

DATE:THURSDAY 11TH MAY 2017 TIME:2.00-4.00PM

MAAGIZO:JIBU SWALI MOJA KILA SEHEMU

A:SEHGEMU YA KWANZA.(DHANA ZA KIMSINGI)

1."Dhana ya usasa haiwezi kuelezwa ka kuzingatia miaka tu"Jadili kauli hii huku ukitoa mifano kutoka tamthilia mija na riwaya moja kati ya zile zilizoteuliwa. (alama 26)

2.Toa sifa bainifu za riwaya ma tamthilia kisha ueleze aina zozote tatu za riwaya (26 alama)

B:SEHEMU YA PILI.(TAMTHILIA)
3.Ainisha wahusika wakuu katika tamthilia za KIFO KISIMANI na PANGO na udhihirishe mchango wao katika mabadiliko ya kijamii. (22 alama)

4.Huku ukitoa mifano mwafaka,eleza ,audhui na dhamira kuu katika tamthilia ya kinjeketile.(22 alama)

C:SEHEMU YA TATU.(RIWAYA)
5.Linganisha na ulinganue mhusika Dzzzombo katika Welenisi na mhusika Afida katika Mhanga Nafasi Yangu. (22 ALAMA)

6."Maisha na tajriba ya Tumaini katika riwaya ya Dunia Uwanja wa Fujo ni fujo tupU" JADILI. (22 Alama)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers