Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Bks 210: Theory And Practise Of Translation And Interpretation Question Paper

Bks 210: Theory And Practise Of Translation And Interpretation 

Course:Bachelor Of Arts In Kiswahili

Institution: Maasai Mara University question papers

Exam Year:2017



MAASAI MARA UNIVERSITY

REGULAR UNIVERSITY EXAMINATION
2016/2017 ACADEMIC YEAR
SECOND YEAR SECOND SEMESTER

SCHOOL OF ARTS AND SOCIAL SCIENCES
BACHELOR OF ARTS IN KISWAHILI

COURSE CODE: BKS 210

COURSE TITLE: THEORY AND PRACTISE OF TRANSLATION AND INTERPRETATION

INSTRUCTIONS
Answer question 1 and any other two.

1. a) Fafanua dhana zifuatazo jinsi zinavyotumiwa katika taaluma ya nadharia na matumizi ya tafsiri na fasiri. (alama 12)
i) Tafsiri
ii) Ufasiri
iii) Ukalimani
iv) Ukafsiri
b) Ukirejelea aina zozote nne za tafsiri, eleza umuhimu na udhaifu wazo. (alama 12)
c) Taja na kueleza kwa ufupi umuhimu wa taaluma ya tafsiri na fasiri kwa mwanafunzi wa lugha. (alama 6)

2. Jadili nafasi ya utafsiri na ukalimani kama nyenzo ya kueneza elimu maarifa katika zama hizi za utandawazi. (alama 20)

3. Bainisha mbinu nne muhimu za tafsiri huku ukijadili namna zinavyotuika, na udhaifu wake katika kutekeleza taaluma hii ya tafsiri na fasiri. (alama 20)

4. Eleza dhima ya nadharia ya tafsiri katika mawasiliano. (alama 20)

5. Fafanua uhusiano uliopo kati ya tafsiri na taaluma zingine. (alama 20)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers