Kenyatta University Bachelor Of Education (Bed) Aks: 303: Contemporary Kiswahili Novel And Play  Question Paper

Exam Name: Aks: 303: Contemporary Kiswahili Novel And Play 

Course: Bachelor Of Education (Bed)

Institution/Board: Kenyatta University

Exam Year:2005

KENYATTA UNIVERSITY
SELF-SPONSORED PROGRAMMES (SCHOOL BASED)
THIRD YEAR THIRD SESSION EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF EDUCATION

AKS 303: CONTEMPORARY KISWAHILI NOVEL AND PLAY

MAAGIZO: Jibu swali la KWANZA na mengine MAWILI

1.
a. Toa maana ya neno ''riwaya'' na ufafanue nguzo kuu za riwaya.
b. Tamthilia ni nini? Eleza sifa kuu za tamthilia (Alama 20)

2. Tamaa na ubinafsi vimeendelezwa kwa namna gani katika riwaya ya Kiu (Ms. Mohamed) (Alama 15)

3. Kwa kutoa mifano, onyesha namna safari ya Nzombo (Walenisi - K. Mkangi) katika nchi ya Walenisi inavyotusaidia kueleza matatizo ya bara la Afrika (Alama 15)

4. Riwaya ya ''Watoto wa Mama Ntilie'' (E. Mbogo) ni kielelezo cha maisha ya wasiobahatika maishani. Jadili (Alama 15)

5. Mhusika Laninia wa Muyaka katika ''Kilio Cha Haki (A. Mazrui) anatoa mchango gani katika ukombozi wa wanawake (Alama 15)

6. Jadili jazanda ya kitumbua kama inavyojitokeza katika riwaya ya ''Kitumbua Kimeingia Mchanga'' (S. A Mohamed) (Alama 15)More Question Papers


Iph 2408 : Occupational And Industrial Health
Cms 300 Operations Research Ii-Sunday
Nyahururu District Mock- Kiswahili Paper 1
Form 2 Physics
Dfl 101 Introduction To Law
Ece 332: Introduction To Telecommunication Engineering
Operations Management
Tour 701: Tourism Policy And Planning
Cms 103: Computer Applications Software
Introduction To Hospitality And Tourism (Dhtm 010)
 
Return to Question Papers