Aks 303: Contemporary Kiswahili Novel And Play Question Paper

Aks 303: Contemporary Kiswahili Novel And Play 

Course:Bachelor Of Education

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2006KENYATTA UNIVERSITY
FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS AND BACHELOR OF EDUCATION

AKS 303: CONTEMPORARY KISWAHILI NOVEL AND PLAY

MAAGIZO: Jibu swali moja kutoka kila sehemu

SEHEMU YA A: NADHARIA

1. Huku ukirejelea riwaya moja na tamthilia moja, eleza vipengele vitano vinavyofaa kuzingatiwa katika uandishi wa kazi za fasihi (Alama 26)

SEHEMU B: RIWAYA

2. "Kiu... ah, kiu ndiyo kila kitu. Kiu imeumbwa pamoja na uhai, itaondoka pamoja na uhai." Jadili kauli hii kwa kurejelea riwaya ya Kiu (Mohamed S. Mohamed) (Alama 22)

3. Jadili kwa tafsili umuhimu wa safari ya Dzombo nchini Walenisi katika kuelewa dhamira ya riwaya ya Walenisi (Katama Mkangi) (Alama 22)

4. Fafanua kiini cha migongano ya kijamii kama inavyobainika katika riwaya ya Kufa Kuzikana (Ken Walibora) (Alama 22)

SEHEMU YA C
5. Jadili udhaifu wa tamthilia ya Natala (Kithaka Mberia) na Mama Ee (Ari Katini Mwachofi) kama vielezo vya mjadala wa kijinsia (Alama 22)

6. Jadili jazanda ya ''kitumbua'' kama ilivyotumika kuendeleza maudhui ya tamthilia ya Kitumbua Kimeingia Mchanga (Said A. Mohamed) (Alama 22)

More Question Papers


Search for school, college and university past papers.

Return to Question Papers    
Quick Links
Kenyaplex On Facebook