Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Aks 403: Oral Literature In Kiswahili Question Paper

Aks 403: Oral Literature In Kiswahili 

Course:Bachelor Of Education

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2005



KENYATTA UNIVERSITY
INSTITUTE OF CONTINUING EDUCATION
EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF EDUCATION

AKS 403: ORAL LITERATURE IN KISWAHILI

MAAGIZO
Jibu swali la KWANZA na mengine mawili.

1.
a. Eleza asili ya Fasihi simulizi katika jamii. (alama 5)
b. Fafanua dhima ya Fasihi simulizi katika jamii za kijadi. (alama 15)

2. Fafanua aina tano za nyimbo katika Fasihi simulizi (alama 15)

3. Jadili umuhimu wa hadithi huku ukitoa mifano yoyote mitatu ya aina za hadithi. (alama 15)

4. Eleza tofauti iliyoko kati ya:
a. Semi
b. Vitendawili
c. Methali
d. Nahau (alama 15)

5. Eleza hatua utakazozingatia katika kufikia malengo ya utafiti chini ya vichwa vifuatavyo.
a. Maandalizi
b. Ukusanyaji wa data
c. Uchambuzi wa data (alama 15)

6. Fafanua mbinu za kisasa zilizotumiwa katika kuhifadhi Fasihi simulizi. (alama 15)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers