Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Childrens Literature  Question Paper

Childrens Literature  

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2007



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS
2006/2007
FIRST SEMESTER EXAMINATION
FOR THE DEGREE OF BACHELOR
OF BACHELOR OF EDUCATION AND BACHELOR OF ARTS
AKS 411: CHILDREN'S
LITERATURE
DATE:
Monday 5th February, 2007
TIME: 10.30 a.m.-12.30 p.m.
INSTRUCTIONS:
Jibu maswali matatu. SwaZi fa kwanza ni fa lazima.
1.
(a)
Bainisha malengo makuu ya fasihi ya watoto.
(b
Eleza hali mbalimbali zinazoathiri shauku ya kusoma miongoni mwa watoto.
2.
Bainisha majukumu ya washika dau mbalimbali katika ukuzaji na uendeleaji wa fasihi ya watoto.
3.
Huku ukirejelea mitazamo miwili ya fasihi onyeshajinsi tunavyoweza kuitumia kuhakiki fasihi ya watoto.
4.
Umeombwa na shirika moja la uchapishaji vitabu kuhariri wasifu katiak fasihi ya watoto. Bainisha vigezo ambavyo utatumia.
5.
"Maendeleo ya kiteknolojia nchini yanakwamisha maendeleo ya fasihi ya watoto. Jadili kauli hii.
6.
Toa maelezo mafupi juu ya istilahi zifuatazo kama zinavyotumika katika fasihi
ya watoto.
(i)
Usimilishwaji
(ii)
Miviga
(iii)
Vitendawili
(iv)
Mighani






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers