Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Language Skills In Kiswahili I  Question Paper

Language Skills In Kiswahili I  

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2008



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2007/2008
INSTITUTE OF OPEN LEARNING
EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS/EDUCATION
AKS 101: LANGUAGE SKILLS IN KISWAHILI - I

DATE: TUESDAY, 8TH JULY 2008

TIME: 10.30 A.M. ? 12.30 P.M.

MAAGIZO: Jibu Maswali Matatu.

1.
Jadili sifa mbalimbali za lugha ya mazungumzo huku ukilinganisha na lugha ya maandishi.
2.
Marejeleo ni muhimu sana katika utafiti? Jadili hoja hii huku ukitoa aina tano za mitindo mbalimbali ya marejeleo na mifano muafaka.
3.
Huku ukitoa mifano isiyopungua mitatu mitatu, elezea miktadha kumi mbalimbali unapohitajika kutumia herufi kubwa.
4.
Uakifishaji huwa katika aina mbili tofauti; mwisho wa sentensi na katikati au ndani ya sentensi. Jadili majukumu sita ya alama za uakifishaji huku ukitoa mifano muafaka.
5.
Jadili hatua na kanuni unazohitajika kuzingatia katika uandishi wa muhtasari.
6.
Kuna aina mbalimbali za insha. Taja aina nne za insha na kisha ubainishe kinaga ubaga vipengele muhimu vya aina hizo nne.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers