Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Cks 405 Socialinguistics In Kiswahili Question Paper

Cks 405 Socialinguistics In Kiswahili 

Course:Bachelor Of Education (Arts)

Institution: South Eastern Kenya University question papers

Exam Year:2017



SOUTH EASTERN KENYA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATION 2017/2018

FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF EDUCATION (ARTS)
CKS 405:SOCIOLINGUISTICS IN KISWAHILI
kitui& wote
DATE:14-DECEMBER 2017 TIME:10:30-12:30
MAAGIZO

Jibu maswali matatu, swali la kwanza ni la lazima.
1.(a)Tofautisha dhana hizi:
(i)Lahaja na lafudhi
(ii)Isimu na isimu jamii
(ii)Pijini na krioli
(iv)Daiglosia na traiglosia
(b)Eleza namna isimu jamii inavyohusiana na sayansi nyingine za kijamii.
(c)Fafanua sifa za lugha ya mwanadamu.
2.Lugha huhusiana na jamii kwa njia nyingi.Thibitisha.
3.Fafanua aina za lahaja na mambo yanayosababisha kuzuka kwake.
4.(a)Eleza dhima ya lugha ya taifa, lugha ya kimataifa na lingua franca.
(b)Jadili mambo yanayoweza kufanya wanajamii kuchanganya na kuhamisha ndimi.
5.Andika matini isiyopungua ukurasa mmoja kuhusu sajili ya kimatibabu kisha udondoe sifa nne za sajili
hiyo.
6.(a)Eleza hatua muhimu zinazofuatwa katika upangaji lugha .
(b)Jadili mbinu sita za kukuza lugha kimsamiati kama njia ya upangaji lugha.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers