Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Aspects Of Intercultural Communication  Question Paper

Aspects Of Intercultural Communication  

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
SECOND SEMESTER EXAMINATIONS FOR THE DEGREE OF BACHELOR
OF ARTS

AKS 202:
BINU ZA MAWASILIANO II

DATE: THURSDAY 9TH APRIL 2009 TIME: 2.00 P.M. ? 4.00 P.M.

MAAGIZO
Jibu maswali matatu
La Kwanza ni la Lazima

1.
Ujumbe katika aina yoyote ya mawasiliano hufahamika katika muktadha
maalumu?. Jadili ukirejelea dhana ya mawasiliano.

2.
Lugha ya mawasiliano hukua na kupanuka kulingana na mahitaji ya jamii?.
Fafanua ukirejelea vipindi vyovyote vitatu vya kihistoria.

3.
Bainisha kwa kina jinsi mbinu za uandishi wa habari zinavyotofautiana na
zile za uandishi wa insha.

4.
Tahariri ni sauti ya gazeti. Tathmini kauli hii huku ukizingatia utaratibu /vipengere maalumu vinavyothibitisha hilo.
5.
Jadili umuhimu wa taaluma ya tafsiri katika mawasiliano na utangamano wa jamii mbalimbali.
6.
Huku ukitoa mifano faafu taja na ueleze sifa za tahakiki mwafaka.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers