Introduction To Study Of Literature  Question Paper

Introduction To Study Of Literature  

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
INSTITUTIONAL SCHOOL BASED PROGRAMME (IBP)
EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS AND
BACHELOR OF EDUCATION
AKS 201: INTRODUCTION TO THE STUDY OF LITERATUREDATE:
Friday 4th September 2009 TIME: 11.00am-1.00pm

MAAGIZO
JIBU MASWALI YOTE MATATU.
1.
Fafanua maana ya sanaa huku ukitoa mifano muafaka katika Fasihi.
2.
Fafaua jukumu la Fasihi Simulizi kwa kuzingatia tanzu zifuatazo:
a) Hadithi
b) Nyimbo
3.
Linganisha na ulinganue sifa za Riwaya na zile za hadithi fupi.
4.
Fafanua aina zozote nne za tamthilia.
5.
a) Eleza asili ya Ushairi
b) Toa maelezo kuhusu sifa zifuatazo katika utanzu wa Ushairi.
i)
Vina na Mizani
ii)
Kibwagizo
iii)
Utoshelezo
6.
Jadili hatua nne muhimu zinazopasa kuzingatiwa katika utafiti wa Fasihi Simulizi.

More Question Papers


Search for school, college and university past papers.

Return to Question Papers    
Quick Links
Kenyaplex On Facebook