📘 Access 10,000+ CBC Exams With Marking Schemes

Prepare your learners for success! Get CBC-aligned exams for Grades 1–9, PP1–PP2, Playgroup and High School - all with marking schemes.

Browse Exams

Instant download • Trusted by 100,000+ teachers • Updated weekly

Mtihani Wa Pamoja Wa Mokasa 2015 Hati Ya Kuhitimu Kisomo Cha Sekondari Kiswahili Karatasi Ya 1 Insha Question Paper

Mtihani Wa Pamoja Wa Mokasa 2015 Hati Ya Kuhitimu Kisomo Cha Sekondari Kiswahili Karatasi Ya 1 Insha 

Course:Kiswahili

Institution: Form 4 question papers

Exam Year:2015



102/1
KISWAHILI
Karatasi ya 1
INSHA
MACHI /APRILI 2015
Muda: Saa 1





MTIHANI WA PAMOJA WA MOKASA 2015
Hati ya Kuhitimu Kisomo cha Sekondari
KISWAHILI
Karatasi ya 1
INSHA
Saa 1 ¾



Maagizo

Andika Insha mbili , Insha ya kwanza ni ya lazima.
Kisha chagua Insha moja nyingine kutoka kwa hizo tatu zilizobakia
Kila Insha isipungue maneno 400
Kila Insha ina alama 20
Karatasi hii ina kurasa 2 zilizopigwa chapa
Watahiniwa ni lazima wahakikishe kuwa kurasa zote za karatasi ya mtihani zimepigwa chapa sawasawa na kuwa maswali yote yamo.


















Kumekuwa na ongezeko la migomo ya wafanyakazi nchini katika siku za hivi karibuni. Wewe ni katibu wa tume iliyobuniwa na rais kusimamia suala hili. Andika ripoti
Ufisadi umechangia pakubwa kuwepo kwa maendeleo duni nchini. Jadili.
Andika insha inayoafikiana na methali Baniani mbaya kiatu chake dawa.
Andika insha itakayomalizikia kwa;
…walipofungua mlango huo hatimaye,wengi hawakuweza kuzuia hisia zao.Waliangua vilio kwa maafa waliyoshuhudia.






More Question Papers


Exams With Marking Schemes

End Term 3 Exams

Mid Term Exams

End Term 1 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers