Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

102/1 Kiswahili Karatasi Ya 1 Insha St Antony Kitale Boys Mtihani Wa Mwigo 2017 Question Paper

102/1 Kiswahili Karatasi Ya 1 Insha St Antony Kitale Boys Mtihani Wa Mwigo 2017 

Course:Kiswahili

Institution: Form 4 question papers

Exam Year:2017



102/1
KISWAHILI
KARATASI YA 1
INSHA
ST ANTONY KITALE BOYS
MTIHANI WA MWIGO 2017

MAAGIZO
(a) Jibu maswali mawili
(b) Swali la kwanza ni lazima
(c) Insha isipungue maneno 400


MASWALI
1.Umeteuliwa katibu wa jopo linalochunguza udanganyifu katika mitihani ya kitaifa. Andika ripoti.

2.Vifo vinavyotokana na ugonjwa hatari wa ukimwi vyaeza kuzuiliwa. Tetea kauli hii.

3.Maji yakimwagika hayazoleki.

4.......................aha akasema akinifungia ndani. Malizisha hivyo.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers