📘 Access 10,000+ CBC Exams With Marking Schemes

Prepare your learners for success! Get CBC-aligned exams for Grades 1–9, PP1–PP2, Playgroup and High School - all with marking schemes.

Browse Exams

Instant download • Trusted by 100,000+ teachers • Updated weekly

Kiswahili Form One Question Paper

Kiswahili Form One 

Course:Kiswahili

Institution: Form 1 question papers

Exam Year:2012



ST. BERNARD SECONDARY SCHOOL
KIDATO CHA KWANZA, KISWAHILI
MWISHO WA MUHULA WA KWANZA.
1.Taja neno litokanalo Na kila sauti mwambafano zifuatazo. (alama 5)
(i)Mwa –

(ii)Mb –

(iii)Ng –

(iv)Sw –

(v)Kw-

2.Andika majina haya Kwa wingi. (alama 5)
(i)Uwele

(ii)Uji

(iii)Runinga

(iv)Mkizi

(v)Ufa

3.Akifisha sentensi zifuatazo.
(i)Mwalimu alimwambia akiving’ende aende kitale kisha Nairobi.

(ii)Mbuzi konzoo na ng’ombe walipunguwa

(iii)Gari hili linaelekea wapi.

(iv)Njooni jamani huyu ataanguka.

(v)Je utaenda kwao siku ya alhamisi (alama 5)

4.Andika sentensi hizi kutumia kirejeshi ‘’amba’’ (alama 5)
(i)Msichana anayechapwa Ni dadangu.

(ii)Kiti kilichovunjika kilitupwa Na mama.

(iii)Ufa uliozibwa Jana ulibomoka.

(iv)Chumvi uliotiwa kwenye chakula Ni nyingi.

(v)Jino linalouma litatibiwa.

5.Kamilisha methali zifuatazo (alama 5)

(i)Baniani mbaya-----------------------------

(ii)Mgaagaa na mpwa------------------------------------

(iii)Mwenda tenzi na omo------------------------------

(iv)Njia ya mwongo----------------------------

(v)Penye nia----------------------------

6.Andika sentensi hizi katika wakati uliopita (alama 5)
(a)Wao wanakula keki kwa soda

(b)Yeye atafanya hesabu

(c)Mwalimu anaandika ubaoni

(d)Tutamwona akija shuleni

(e)Wenyeji wanaweka mazingira Safi.

7.Akifisha kifungu hiki (alama 5)
Nchini Kenya nototana umeanza kuendeleza kilimo cha kutumia njia ya kunyunyizia maji mipango ya kunyunyizia maji yatana Na bura mlayani tana nia imewanufaisha Sana wakulima Mito ya kunyunyizia mashamba maji Kama tanaathi Na mingine hupungua maji wakati WA kiangazi.






More Question Papers


Exams With Marking Schemes

End Term 3 Exams

Mid Term Exams

End Term 1 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers