Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Taja udhaifu wa vinasasauti katika uhifadhi wa fasihi

Taja udhaifu wa vinasasauti katika uhifadhi wa fasihi.

Answers


KELVIN
a) Kinasasauti huhitaji nguvu za umeme au betri hivyo hakiwezi kutumiwa katika sehemu zisizo na huduma hizi aidha nguvu za umeme zikikosekana kabla ya utafiti kukamilka utafiti utaathirika. Mtafiti atalazimika kuanza utafiti wake.
b) Kinasasauti hakiwezi kumnasa mtambaji wala uigizaji wake, watu wanaotumia kazi iliyorekodiwa basi hukosa ile taathira ambayo inaibuliwa na kukabiliana ana kwa ana na mtambaji.
iv) Baadhi ya wahojiwa au mfanani wasitambe ikiwa wanajua kuwa wanarekodiwa, mtafiti anaweza kupata data ya kutegemewa kama alivyotarajia kuipata.

kalvinspartan answered the question on August 5, 2018 at 12:59

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions