Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Introduction To The Study Of Language Question Paper

Introduction To The Study Of Language 

Course:Bachelor Of Arts Kiswahili And Communication

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2008



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2007/2008
KITUI CAMPUS

SECOND SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS
AKS 100: INTRODUCTION TO THE STUDY OF LANGUAGE
DATE: FRIDAY, 30TH MAY, 2008

TIME: 11.30 A.M. ? 1.30 P.M.


AGIZO:
JIBU MASWALI MATATU. SWALI LA KWANZA NI LA LAZIMA.


1.
Eleza maana ya isimu na uonyeshe ni kwa namna gani isimu in sayansi. (Alama 26)

2.
Ukirejelea fasili za wanaisimu mbali mbali kuhusu maana ya lugha,
fafanua sifa tano za lugha ya binadamu.




(Alama 22)

3.
Ukitoa mifano, eleza dhana zifuatazo kikamilifu
(a)
Sinkronia na Diakronia





(Alama 6)
(b)
Lahaja na lafudhi






(Alama 5)
(c)
Uwezo/umilisi na utendaji




(Alama 5)
(d)
Lugha sanifu na lugha rasmi




(Alama 5)

4.
Jadili sifa TANO zinazotofautisha lugha ya binadamu na mawasiliano ya
wanyama.








(Alama 22)

5.
Huku ukitoa mifano, eleza majukumu ya tanzu (viwango) zifuatazo za Isimu:

(a)
Fonolojia







(Alama 6)

(b)
Mofolojia







(Alama 6)

(c)
Sintansia







(Alama 5)

(d)
Semantiki







(Alama 5)

6.
Jadili namna tano ambavyo taaluma ya isimu huifaidi jamii.

(Alama 22 )

****************






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers