Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Kiswahili Question Paper

Kiswahili 

Course:Secondary Level

Institution: Kcse question papers

Exam Year:2011



102/1
KISWAHILI
Karatasi ya 1
INSHA
Okt. / Nov. 2011
Muda: Saa 1 ¾
Maagizo
(a) Andika insha mbili. Insha ya kwanza ni ya lazima.
(b) Kisha chagua insha nyingine moja kati ya hizo tatu zilizobakia.
(c) Kila insha isipungue maneno 400.
(d) Kila insha ina alama 20.

1. Insha ya Lazima:
Wewe kama mwanafunzi umepata nafasi ya kumhoji Mkurugenzi wa Habari nchini kuhusu umuhimu wa magazeti kwa Mkurugenzi wa Habari nchini kuhusu umuhimu wa magazeti kwa wanafunzi wa shule za sekondari. Andika mahojiano hayo.

2. “Magari ya matatu yameleta faida nyingi hapa nchini kuliko hasara.” Jadili.
3. Pele hupewa msi kucha.
4. Andika insha itakayomalizika kwa:
“Niliipapia ile bilauri ya maji kwa pupa. Sikuwa na uhakika kuwa kiu yangu ingekatika . Nikapiga mafunda mawili, matatu. Baada ya kugumia bilauri yote, ndipo nilipotanbua kuwa kweli maji ni uhai.”






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers