📘 Access 10,000+ CBC Exams With Marking Schemes

Prepare your learners for success! Get CBC-aligned exams for Grades 1–9, PP1–PP2, Playgroup and High School - all with marking schemes.

Browse Exams

Instant download • Trusted by 100,000+ teachers • Updated weekly

Kiswahili Paper 1 Question Paper

Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Kcse question papers

Exam Year:2009



102/1
KISWAHILI
KARATASI YA KWANZA.
MUDA:SAA1 DAKIKA 45.

MITIHANI YA MAKADIRIO YA WILAYA YA BORABU
Kenya Certificate of Secondary EDUCATION.

MAAGIZO:
1. Andika insha mbili. Swali la kwanza ni la lazima.
2. Kisha chagua insha moja nyingine kutoka kwa hizo tatu zilizobaki.
3. Kila insha isipungue maneno400.
4. Kila insha ina alama 20.

Maswali
1. Kumezuka ghasia shuleni mwenu kati ya makundi mawili kinzani. Jopo la kuchunguza chanzo na kupendekeza mikakati ya upatanisho limeundwa. Ukiwa katibu wake andika kumbukumbu za mkutano wenu.
2. Serikali ina kila sababu ya kuitunza misitu nchini.Jadili.
3. Kidole kimoja hakivunji chawa.
4. Alhamdulilahi! Nimebahatika kurudi shuleni baada ya muda mrefu. Lau kama si serikali..............(endeleza0






More Question Papers


Exams With Marking Schemes

End Term 3 Exams

Mid Term Exams

End Term 1 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers