Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Transmara District Mock - Kiswahili Paper 1 Question Paper

Transmara District Mock - Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2011



Jina: …………………………………………………………………… Nambari: ………...………
Shule: ………………………………………………………………. Sahihi ....................................
Tarehe: …………….....................................................................……
102/1
KISWAHILI INSHA
KARATASI YA 1
JULAI /AGOSTI 2011
MUDA: SAA 1 ¾
Hati ya kuhitimu kisomo cha Sekondari Kenya (K.C.S.E)
Kiswahili
Insha
MAAGIZO:
• Andika Insha mbili. Insha ya kwanza ni ya lazima.
• Chagua insha moja nyingine kutoka hizo tatu zilizobaki.
• Kila insha isipungue maneno 400.
• Kila insha ina alama 20.
Karatasi hii ina kurasa 2 zilizopigwa chapa. Watahiniwa ni lazima waangalie kama kurasa zote za karatasi hii zimepigwa chapa sawasawa na
kuwa maswali yote yamo.
1. Andika mazungumzo kati ya Mwalimu mkuu na mzazi kuhusu chanzo, matumizi na
athari za dawa za kulevya miongoni mwa vijana wengi wa siku hizi.
2. Hakuna kizuri kisichokosa ila. Thibitisha methali.
3. Fafanua hatua zozote zinazoweza kuchukuliwa ili kukabiliana na janga la umaskini
hapa nchini.
4. Nilikuwa nimelala fo!fo!fo!nilipogutushwa na kishindo kikuu kutoka upande wa mjini….






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers