📘 Access 10,000+ CBC Exams With Marking Schemes

Prepare your learners for success! Get CBC-aligned exams for Grades 1–9, PP1–PP2, Playgroup and High School - all with marking schemes.

Browse Exams

Instant download • Trusted by 100,000+ teachers • Updated weekly

Kcse Nakuru District Mock English Paper 2. Question Paper

Kcse Nakuru District Mock English Paper 2. 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2011



102/1
KISWAHILI
Karatasi ya 102/1
INSHA
Julai / Agosti - 2011
Muda: Saa 1 ¾





MTIHANI WA MWIGO WA WILAYA YA NAKURU - 2011




MAAGIZO

(a) Andika insha mbili. Insha ya kwanza ni ya lazima
(b) Kisha chagua insha moja nyinginge kutoka kwa hizo tatu zilizobakia
(c) Kila insha isipungue maneno 400
(d) Kila insha ina alama 20


Insha ya Lazima
1 Umepata nafasi ya kwenda kusomea nchi jirani ya Uganda baada ya kukamilisha masomo ya
shule ya upili. Mwandikie mjomba wako barua ukimujuza jinsi mambo yalivyo.

2 Tatizo la uhaba wa chakula limekuwa tishio la uhai wa wananchi.
Elezea namna za kusuluhisha tatizo hili

3 Mchagua nazi hupata koroma

4 Anza insha kwa: Nilizinduka jimbi la kwanza ili kujiandaa kwenda katika hafla . . .








More Question Papers


Exams With Marking Schemes

End Term 3 Exams

Mid Term Exams

End Term 1 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers