Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Aks 203: Introduction To The Theory And Practice Of Translation Question Paper

Aks 203: Introduction To The Theory And Practice Of Translation 

Course:Bachelor Of Education

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009




KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
SECOND SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR
OF ARTS
AKS 203: INTRODUCTION TO THE THEORY AND PRACTICE OF
TRANSLATION
DATE: Wednesday 9th September, 2009 TIME: 11.00 a.m. – 1.00 p.m.
MAAGIZO
Jibu maswali matatu. Swali la kwanza ni la lazima.
1. Tafsiri makala ifuatayo katika Kiswahili sanifu. (makala iko nyuma ya mtihani).
2. “Matatizo ya kutafsiri ni ya kitamaduni”. Jadili.
3. (a) Ni nini maana ya nadharia ya tafsiri?
(b) Bainisha malengo na utendakazi wake.
4. “Tafsiri ni taaluma ya kiisimu”. Toa maoni yako.
5. “Tatizo mojawapo kuu la tafsiri ni ukosefu wa msamiati na istilahi” Onyesha
mbinu zinazoweza kutumiwa kutatua tatizo hili.
6. Bainisha hatua muhimu zinazozingatiwa katika kutafsiri makala ya aina yoyote.







More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers