Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Language Skills In Kiswahili I Question Paper

Language Skills In Kiswahili I 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2008



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
EDUCATION AND BACHELOR OF ARTS
AKS 101: LANGUAGE SKILLS IN KISWAHILI I


DATE: Thursday 4th December, 2008

TIME: 11.00 a.m. ? 1.00 p.m.

MAAGIZO
Jibu maswali yoyote MATATU.
1.
Fafanua dhima ya lugha katika kuendeleza mawasiliano.
2.
Jadili na udhihirishe kwa mchoro vipendele vine vya mawasiliano kama
vinavyopendekezwa na Hybels na Weaver (1989).
3.
Linganisha na ulinganue sura (sifa) mbalimbali zinazoibainisha lugha ya simu na
ile ya matangazo ya biashara.
4.
Jadili manufaa na matatizo yanyosababishwa na uwakifishaji mwafaka na
usiokuwa mwafaka.
5.
Fafanua stadi mbalimbali zinazopaswa kuzingatiwa katika uandishi wa insha.
6.
(a)
Andika hotuba isiyopungua kurasa tatu juu ya mada: ?SIKU YA
KUWAKARIBISHA WANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA
CHUONI?.
(b)
Eleza sifa (vipengele) zozote tano ulizozingatia katika hotuba uliyoitoa
katika namba 6 (a).

?????..

















More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers