Historical Development Of Kiswahili Question Paper

Historical Development Of Kiswahili 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2009/2010
FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
ARTS AND BACHELOR OF EDUCATION

AKS 102:
HISTORICAL DEVELOPMENT OF KISWAHILI

DATE: Wednesday, 23rd December, 2009
TIME: 4.30 p.m. ? 6.30 p.m.
------------------------------------------------------------------------------------------------------------
MAAGIZO:
Jibu maswali MATATU. Swali la KWANZA ni la LAZIMA
1.
Kwa kuzingatia ushahidi wa Historia simulizi, dhihirisha ukweli kwamba lugha
ya Kiswahili ilikuwepo hapa Afrika Mashariki hata kabla ya maajilio ya wageni.
2.
Eleza namna sera ya lugha ilivyotumiwa kustawisha na kukwamiza maendeleo ya
lugha ya Kiswahili nchini Kenya baada ya uhuru.
3.
Jadili mchango wa tume ya Mackay (1981) katika kustawisha lugha ya Kiswahili
nchini Kenya.

4.
Eleza historia ya usanifishaji wa lugha ya Kiswahili kuanzia mwaka wa 1930 hadi
1964.

5.
Fafanua sababu za msingi zilizotatiza ustawishaji wa lugha ya Kiswahili Ama
nchini Uganda Au nchini Rwanda na Burundi kabla ya uhuru.

6.
?Ingawa lugha ya Kiswahili ni miongoni mwa lugha za kimataifa, inahitaji
kukuzwa zaidi.? Fafanua kauli hii kwa kutoa mifano inayofaa.


Page 1 of 1

More Question Papers


Search for school, college and university past papers.

Return to Question Papers    
Quick Links
Kenyaplex On Facebook