Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Kiswahili Structure Question Paper

Kiswahili Structure 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2009/2010
FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
ARTS
AKS 301: KISWAHILI STRUCTURE

DATE: Monday 28th December, 2009 TIME: 11.00 a.m. ? 1.00 p.m.

MAAGIZO:
Jibu maswali MATATU; Swali la KWANZA ni la LAZIMA.

1.
Kwa kuzingatia vipengele katika viwango vya fonolojia, mofolojia na sintaksia,
dhihirisha kuwa lugha ya Kiswahili ina muundo wake maalum.
2.
Kwa kutoa mifano mwafaka, eleza dhima ya silabi katika lugha ya Kiswahili.
3.
Jadili kuwepo kwa mang?ong?o katika lugha ya Kiswahili.
4.
Changanua sentensi hizi kwa misingi ya nadharia ya sarufi miundo-virai.

a)
Moto uliwaka usiku kucha.

b)
Wimbo wa taifa huibua uzalendo.

c)
Katiba itajadiliwa ndani ya ukumbi.

d)
Watu wanyenyekevu tena wapole wameadimika sana.

e)
Ijumaa ni siku ya ibada.

f)
Wote watakuwa wakifanya mitihani ya mwisho.
5.
Kwa kutoa mifano, eleza mageuzi matano yanayoweza kufanyiwa sentensi hii ya
Kiswahili;
- Mtoto
amelala
6.
Mpangilio wa kisintaksia ndio njia bora zaidi ya kujiainisha ngeli za Kiswahili.
Jadili kauli hii kwa kurejelea ngeli zozote nne.


????????..
Page 1 of 1






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers