Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Language Skills In Kiswahili Ii Question Paper

Language Skills In Kiswahili Ii 

Course:Bachelor Of Arts In Kiswahili And Communication

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
INSTITUTIONAL BASED PROGRAMME
EXAMINATIONS FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS

AKS 202:
LANGUAGE SKILLS IN KISWAHILI II

DATE: THURSDAY 3RD SEPTEMBER 2009 TIME: 11.00 A.M ? 1.00 P.M

AGIZO: Jibu maswali MATATU. Swahli la KWANZA ni la Lazima


1.
Bainisha mambo mbalimbali yanayoweza kutatiza mawasiliano baina ya

mzungumzaji na msikilizaj.




[ Alama 26]

2.
Dhihirisha matatizo mbalimbali yanayotokana na matumizi ya tafsiri kama mbinu

ya mawasiliano.






[ Alama 22]

3.
Eleza hatua muhimu unazopaswa kuzingatia unapoandika makala yoyote ya

muhula.







[ Alama 22]

4.
Fafanua masharti ya kijumla ya uandishi yanayozingatiwa ili kufanikisha

mawasiliano mbalimbali ya kibiashara.



[ Alama 22]

5.
Taja na ueleze vipengele muhimu vya pendekezo la utafiti wa kiakademia.










[ Alama 22]
6.
Jadili vipengele muhimu vya kimtindo utakavyozingatia unapoandika makala ya
kuhakiki riwaya.






[ Alama 22]
Page 1 of 1






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers