📘 Access 10,000+ CBC Exams With Marking Schemes

Prepare your learners for success! Get CBC-aligned exams for Grades 1–9, PP1–PP2, Playgroup and High School - all with marking schemes.

Browse Exams

Instant download • Trusted by 100,000+ teachers • Updated weekly

Historical Development Of Kiswahili Question Paper

Historical Development Of Kiswahili 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2007



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY
EXAMINATIONS
2007/2008
FIRST SEMESTER EXAMINATION
FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
ARTS
AKS 102: HISTORICAL
DEVELOPMENT
OF KISWAHILI
DATE: Wednesday 5th December, 2007
TIME:
8.00 a.m. - 10.00 a.m.
MAAGIZO: Jibu maswali matatu. Swali la KWANZA ni la lazima.
1. Kwa kuzingatia ushahidi wa Historia Simulizi, dhihirisha ukweli kwamba lugha ya
Kiswahili ilikuwepo hapa Afrika Mashariki hata kabla ya maajilio ya wageni.
2.
Eleza namna sera ya lugha ilivyotumiwa kustawisha na kukwamiza maendeleo ya
lugha ya Kiswahili nchini Kenya baada ya uhuru.
3. Tathmini mchango wa Wamisheni katika uendelezaji wa lugha ya Kiswahili katika
Afrika Mashariki kabla ya ukoloni.
4. "Kiswahili kilienezwa na Waarabu hapa Afrika ya Mashariki na ya Kati kwa sadfa."
Fafanua kauli hii kwa kutoa mifano inayofaa.
5. Eleza historia ya usanifishaji wa lugha ya Kiswahili kuanzia mwaka wa 1930 hadi
1964.
6. Fafanua sababu zilizotatiza ustawishaji na uenezaji wa lugha ya Kiswahili Ama
nchini Uganda Au nchini Rwanda na Burundi.
***






More Question Papers


Exams With Marking Schemes

End Term 3 Exams

Mid Term Exams

End Term 1 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers