Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Contemporary Kiswwahili Nov El And Play Question Paper

Contemporary Kiswwahili Nov El And Play 

Course:Bachelor Of Arts In Kiswahili And Communication

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
SECOND SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR
OF EDUCATION AND BACHELOR OF ARTS

AKS 303: CONTEMPORARY KISWWAHILI NOV EL AND PLAY


DATE:
Friday 21st August 2009

TIME: 8.00 a.m ? 10.00 a.m

MAAGIZO:
Jibu Maswali yoyote Matatu .

1.
a)
Jadili hatua zinazopaswa kufuatwa katika uhakiki wa riwaya.







b)
Ainisha na ufafanue sifa muhimu za tamthilia.

2.
? Utibora Mkulima ( S. Robert) ni riwaya inayoendeleza swala la uadhilifu na utu
katika jamii? Jadili.




3.
Ihakiki riwaya ya Walenisi (K. Mkangi) kama kazi ya kisemezano na sayansi
bunilizi.
4.
Jadili dhana ya ukengeushi kama inavyoendelezwa na uhusika monika katika
riwaya ya Mwisho wa Kosa. (Z. Burhani).
5.
Fafanua jazanda ya Pango kama ilivyotumika katika tamthilia ya Pango . (K.W.
Wamitila)
6.
Jadili mbinu tano za kisanaa zilizotumika katika tamthilia ya Zilizala (K. Njogu)
na jinsi mbinu hizo zilivyofanikisha au kutatiza uwasilishi wa maudhui ya mtunzi.








7.
Ainisha mbinu tano za kisanaa alizozitumia Sofokile katika tamthilia ya Antigoni
na uonyesha jinsi zilivyomsaidia msanii kufanikisha kazi yake.
==========
Page 1 of 1






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers