Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Historical Development Of Kiswahili Question Paper

Historical Development Of Kiswahili 

Course:Bachelor Of Education

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
INSTITUTIONAL BASED PROGRAMME

EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS AND
BACHELOR OF EDUCATION

AKS 102:
HISTORICAL DEVELOPMENT OF KISWAHILI


DATE: THURSDAY 3RD SEPTEMBER 2009 TIME: 4.30 P.M. ? 6.30 P.M.

MAAGIZO
-
Jibu swali la kwanza na mengine mawili.

1. Linganisha na utofautishe matatizo yanayokabili ukuzaji na uzambazaji wa lugha ya
Kiswahili katika nchi za Burundi na Rwanda. Toa mapendekezo ya utatuzi wa
matatizo hayo.(Alama 26)

2.Mbinu zinazotumiwa siku hizi katika kuunda na kusambaza istilahi za Kiswahili ni
nyingi? zibainishe kwa kuzitolea mifano minne minne.(Alama 22)

3.Jadili historia ya usanifishaji wa Kiswahili ukizingatia mafanikio na matatizo ya kazi
hiyo.(Alama 22)

4.Eleza kwa kina namna asasi mbalimbali zilivyochangia kueneza Kiswahili katika
sehemu za Afrika mashariki na katika karne ya kumi na tisa bila makusudi.
(Alama 22)

5.Juhudi za Kiserikali nchini Tanzania zimeimarisha sana lugha ya Kiswahili tangu
mwaka wa 1961 hadi leo hii?. Jadili. (Alama 22)


6.Jadili madai kwamba Kiswhaili ni lahaja ya Kiarabu. (Alama 22)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers