Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Introduction To The Study Of Language Question Paper

Introduction To The Study Of Language 

Course:Bachelor Of Arts In English And Linguistics

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2008



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
MOMBASA CAMPUS
FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF
BACHELOR OF ARTS
AKS 100: INTRODUCTION TO THE STUDY OF LANGUAGE

DATE: FRIDAY 28TH November 2008
TIME: 8.00 AM -10.00 AM

Maagizo: Jibu maswali matatu. Swali la kwanza ni la lazima.


1.
Jadili sifa nne muhimu ambazo huifanya isimu kuwa sayansi ya lugha.
(26 marks)

2.
(a)
Filolojia ni nini?






(2 marks)
(b)
Wanafalasafa wa Ugiriki walikuwa na mchango mkubwa katika isimu.
Elezea.







(10 marks)
(c)
Jadili matokeo muhimu yaliyojitokeza katika kipindi cha mwamko
na namna yaliyoathiri taaluma ya isimu.



(10 marks)

3.
Kwa mujibu wa Hockett (1985), lugha huwa na sifa bia zaidi ya kumi na tano.
Jadili sifa zozote saba huku ukitoa mifano.



(22 marks)

4.
Elezea sababu ambazo huleta uwili-lugha katika jamii au taifa.

(22 marks)

5.
Isimu ina matawi mbalimbali. Eleza kauli hii huku ukitoa mifano maridhawa.



- MWISHO -






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers