Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Sociolinguistics (Isimu Jamii) Question Paper

Sociolinguistics (Isimu Jamii) 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2009/2010
FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
ARTS

AKS 400:
SOCIOLINGUISTICS (ISIMU JAMII)


DATE: Wednesday, 30th December, 2009
TIME: 8.00 a.m. ? 10.00 a.m.
------------------------------------------------------------------------------------------------------------
MAAGIZO:
Jibu maswali MATATU. Swali la KWANZA ni la Lazima.
1.
a)
Elezea malengo ya Isimu Jamii



(Alama 8)
b)
Taaluma ya Isimu Jamii inahusiana na taaluma kadha. Eleza.
(Alama 18)

2.
Elezea vipengele vifuatavyo:
a)
Uwili
lugha
(Alama
4)
b)
Kubadili
msimbo
(Alama
5)
c)
Pijini
(Alama
4)
d)
Krioli






(Alama 4)
e)
Lahaja






(Alama 5)

3.
Nini maana ya upangaji lugha? Elezea hatua na aina za upangaji lugha










(Alama 22)

Page 1 of 2


4.
Onyesha nafasi ya uana katika matumizi ya lugha.

(Alama 22)

5.
Elezea vile mifumo ya jamii inavyoathiri sera ya lugha.

(Alama 22)

6.
Usanifishaji wa Kiswahili umepitia hatua zipi?


(Alama 22)

Page 2 of 2






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers