Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Language Skills In Kiswahili I Question Paper

Language Skills In Kiswahili I 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2010



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2010/2011
FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
ARTS AND BACHELOR OF EDUCATION

AKS 101: LANGUAGE SKILLS IN KISWAHILI I
DATE:
Wednesday 24th November 2010 TIME:
8.00a.m -10.00a.m

MAAGIZO: JIBU SWALI LA KWANZA NA MENGINE MAWILI
1.
Jadili vipengele sita ambavyo Hybels na Weaver (1989) wanafafanua kuwa ni

muhimu katika mawasiliano.

2.
Eleza sifa za aina za mawasiliano zifuatazo:

a)
Mazungumzo ya kawaida

b)
Mawasiliano ya simu.

3.
a)
Eleza sifa muhimu za hotuba nzuri

b)
Andika hotuba fupi isioypungua ukurasa mmoja kwa kuzingatia sifa hizo.


4.
a)
Taja alama zozote saba za uakifishaji.

b)
Tunga aya inayoshirikisha alama ulizotaja

5.
Jadili hatua mwafaka zinazopaswa kuzingatiwa katika uandishi bora wa

insha.
6.
Fafanua,

a)
Umuhimu wa marejeleo katika maandishi

b)
Andika marejeleo haya kwa kuzingatia mitindo minne ya maandishi ya


marejeleo.


Gichohi Waihiga na f.M. Kagwa, kurunzi ya insha. Target Publication


Limited. Nairobi
Page 1 of 1






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers