Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Comparative Literature Kiswahili Question Paper

Comparative Literature Kiswahili 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009



ENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
SECOND SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR
OF ARTS AND BACHELOR OF EDUCATION
AKS 413: COMPARATIVE LITERATURE KISWAHILI



DATE:
Friday 27th March 2009
TIME: 8.00am-10.00am


MAAGIZO
Jibu swali moja katika kila sehemu na la tatu kutoka sehemu yoyote

SEHEMU A

1.
Fafanua dhana ya ulinganishaji na uonyeshe kwa kutumia mifano vipengele
vinavyozingatiwa katika fasihi linganishi.

2.
Kwa nini ni muhimu fasihi ya Kiswahili izingatie ulinganishi katika uhakiki
wake?

3.
Kwa kuzingatia kazi zozote mbili za fasihi ya Kiswahili, Onyesha namna
kikale cha safari kilivyotumiwa kusawiri ujumbe.

SEHEMU B

4.
Mayai Waziri wa Maradhi (E. Kezilahabi) na Kifo Kisimani (K.Mberia) ni
vielelezo halisi vya uongozi mbaya katika mataifa ya Kiafrika. Jadili.

5.
Linganisha ushairi wa wanamapokeo na ule wa wanamabadiliko kwa
kuzingatia kipengele cha mtindo

6.
Unafiki unabainika vipi katika Msamaria Mwema (K.W. Wamitila) na
Utengano (S.A. Mohamed)?
Page 1 of 1






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers