Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Language Skills In Kiswahili - I Question Paper

Language Skills In Kiswahili - I 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2007



KENYATT A UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2007/2008
FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
ARTS
AKS 101: LANGUAGE SKILLS IN KISWAHILI - I
DATE: FRIDAY 7TH DECEMBER, 2007
TIME: 8.00 a.m. -10.00 a.m.
Maagizo: Jibu swali la kwanza na mengine yoyote mawili.
1. Fafanua dhana ya mawasiliano huku ukizingatia vipengele vya
nadharia ya mawasiliano. (Alama 26)
2. Linganisha na ulinganue lugha ya mazungumzo na lugha ya maandishi.
(Alama 22)
3. "Lugha ya sajili ya michezo ni ligha bunifu ." Jadili. ( Alama 22)
4. Eleza mambo manne muhimu unayohitaji kuzingatia katika uandishi
wa insha.(Alama 22)
5. Bainisha ni mambo gani muhimu unayohitaji kuzingatia wakati wa
kutayarisha hotuba. (Alama 22)
6. Taja na ueleze majukumu manne ya uakifishaji wa ndani ya sentensi na
utoe mfano mmoja mmoja kwa kila jukumu. (Alama 22)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers