Introduction To The Study Of Literature Question Paper

Introduction To The Study Of Literature 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
INSTITUTE OF OPEN LEARNING
EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS AND
BACHELOR OF EDUCATION
AKS 201: INTRODUCTION TO THE STUDY OF LITERATURE
DATE: TUESDAY, 11TH AUGUST 2009 TIME: 2.00 P.M. - 4.00 P.M.

MAAGIZO: JIBU SWALI LA KWANZA NA MENGINE MAWILI.

1.
a)
Eleza maana ya dhana zifuatazo:
(i)
Fasihi
(ii)
Maudhui
(iii)
Dhamira
(iv)
Fani
b)
Onyesha uhusiano uliopo baina ya fasihi simulizi na fasihi andishi.
c)
Bainisha majumu muhimu ya fasihi.

2.
?Hadithi fupi ni riwaya ndogo?. Toa maoni yako.

3.
Kwa kurejelea fasihi ya Kiswahili, bainisha sifa bainishi za utanzu wa tamthilia.

4.
Onyesha uhusiano uliopo baina ya ngano na riwaya.

5.
Bainisha aina za riwaya kwa kurejelea fasihi ya Kiswahili.

6.
(a)
Fafanua maana ya dhana ya ushairi.

(b)
Bainisha vipengele muhimu katika uhakiki wa ushairi.
*************

Page 1 of 1

More Question Papers


Search for school, college and university past papers.

Return to Question Papers    
Quick Links
Kenyaplex On Facebook