Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Theories Of Literary Criticism Question Paper

Theories Of Literary Criticism 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2009/2010
FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
ARTS
AKS 302:
THEORIES OF LITERARY CRITICISM
==============================================================
DATE:
MONDAY 21ST DECEMBER 2009 TIME: 11.00 A.M. ? 1.00 P.M.

MAAGIZO:

Jibu maswali MATATU kwa jumla, swali MOJA kutoka SEHEMU A
na maswali MAWILI kutoka SEHEMU B.

SEHEMU A
1.
Onyesha kinaganaga uhusiano uliopo kati ya fasihi, uhakiki na nadharia.
(Alama 24)

2.
Huku ukitoa mifano inayofaa, jadili vigezo vinavyobainisha nadharia mwafaka.










(Alama 24)





SEHEMU B

3.
Ichanganue tamthilia ya Antigoni (Sofokile) ukizingatia misingi ya tanzia ya
kigiriki. (Alama
23)

4.
?Riwaya ya Dunia Uwanja wa Fujo (E. Kezilahabi) inaweza kuhakikiwa vyema
zaidi katika misingi ya udhanaishi.?

Jadili.
(Alama
23)

5.
Kwa kuzingatia mashairi ya kisasa yasiyopungua matatu katika diwani ya Sauti
ya Dhiki (A. Abdalla), dhihirisha jinsi yanafungamana na Uhalisia wa Kijamaa.









(Alama 23)
6.
Ainisha sifa kuu za Ujumi Mweusi na uonyeshe jinsi zinavyojibainisha katika
tamthilia ya Wingu Jeusi (C.N. Chacha)



(Alama 23)
Page 1 of 1






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers