Theories Of Literary Criticism Question Paper

Theories Of Literary Criticism 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
SECOND SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR
OF ARTS
AKS 302: THEORIES OF LITERARY CRITICISM

DATE: Monday 14th September, 2009 TIME: 2.00 p.m. ? 4.00 p.m.

MAAGIZO:
Jibu maswali matatu.

1.
Jadili sifa za nadharia mwafaka.

2.
Huku ukitilia maanani mihimili ya nadharia ya uhalisia wa kijamaa, ihakiki
tamthilia ya Kifo Kisimani (Kithaka Mberia).

3.
Ainisha na ufafanue sifa muhimu za udhanaisha. Onyesha jinsi udhanaishi
unavyoweza kutumiwa kufahamu riwaya ya Rosa Mistika (E. Kezilahabi).

4.
Jadili mihimiti ya Urasimi-mupya katika fasihi ya Kiswahili.

5.
Nini maana ya uhalisiajabu? Tumia uhalisiajabu kuihakiki riwaya ya Bin-
Adamu! (Wamitila).

6.
Uhakiki utendi wa Fumo Liyongo (Omar al-Bukry) kwa kutilia maanani urasimi
mkongwe wa fasihi ya Kiswahili.

????????????.


Page 1 of 1

More Question Papers


Search for school, college and university past papers.

Return to Question Papers    
Quick Links
Kenyaplex On Facebook