Kenyatta University Bachelor Of Arts (Kiswahili) Language Skills In Kiwahili Ii  Question Paper

Exam Name: Language Skills In Kiwahili Ii 

Course: Bachelor Of Arts (Kiswahili)

Institution/Board: Kenyatta University

Exam Year:2008

KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2007/2008
INSTITUTE OF OPEN LEARNING
SUPPLEMENTARY/SPECIAL EXAMINATION FOR THE DEGREE OF
BACHELOR OF ARTS/EDUCATION

AKS 101: LANGUAGE SKILLS IN KIWAHILI II

DATE: Tuesday 7th October 2008 ___________TIME: 8.00am ? 10.00am

MAAGIZO:
JIBU MASWALI MATATU.
SWALI LA KWANZA NI LAZIMA
1.
(a)
Taja mawanda matatu ya mawasiliano.

(b)
Eleza kwa kina aina zozote nne za mawasiliano

2.
Marejeleo ni kipengele muhimu sana katika mawasiliano. Huku ukitumia mifano

mwafaka, eleza mitindo yoyote mitano ya marejeleo.

3.
?Hotuba ni mazungumzo lakini si mazungumzo ya kawaida? Jadili kauli hii kwa

kubainisha sifa maalum za hotuba.

4.
Jadili sura mbalimbali ambazo waweza kutumia katika kupambanua mazungumzo
ya kawaida na aina yoyote nyingine ya mazungumzo.

5.
Makosa mengi ya kitahajia hutokana na athari za lugha za Kwanza. Kwa kutoa
mifano mahsusi, jadili hoja hii.

6.
(a)
Taja alama za uwakifishaji wa mwisho na ndani ya sentensi.
(b)
Eleza namna alama za uwakifishaji wa mwisho wa sentnsi hutumiwa
katika maandishi.
**********More Question Papers


Cam 206: Entrepreneurship And Small Business Management
Innovation And New Product Development
Szl 101: Invertebrate Zoology
Geog 405:Climatology And Hazards
Foundation Of Learning And Adaptive Systems
Personnel Management
Family Law
Object Oriented Programming I
Phys 325: Communication Electronics I
Bomet District English Paper 1
 
Return to Question Papers