Jibu Maswali Matatu. Question Paper

Jibu Maswali Matatu. 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
INSTITUTE OF OPEN LEARNING
EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS AND
BACHELOR OF EDUCATION
AKS 100: INTRODUCTION TO THE STUDY OF LANGUAGE
DATE: THURSDAY, 13TH AUGUST 2009 TIME: 11.00 A.M. - 1.00 P.M.

MAAGIZO: JIBU MASWALI MATATU.


1.
a)
Taja sifa zinazoifanya isimu kuitwa sayansi ya lugha.

b)
Eleza umuhimu wa kila sifa iliyotajwa hapo juu.

2.
?Lugha ni mfumo?. Eleza kauli hii kwa kutoa mifano ya Kiswahili.

3.
Eleza matawi yafuatayo ya Isimu:
a)
Isimu
jamii
b)
Isimu
linganuzi
c)
Isimu
matumizi

4.
Bainisha tofauti kuu katika nadharia tatu zinazoeleza asili ya lugha.

5.
Eleza kwa undani dhana hizi
a)
Visawe
b)
Sifa
bia
c)
Lingua-franca
d)
Lugha
mame

6.
Eleza taaluma zozote tatu zilizo na uhusiano wa karibu na Isimu.
***************


Page 1 of 1

More Question Papers


Search for school, college and university past papers.

Return to Question Papers    
Quick Links
Kenyaplex On Facebook