Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Morphology Question Paper

Morphology 

Course:Bachelor Of Arts In Kiswahili And Communication

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2007



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 200612007
SPECIAL/SUPPLEMENTARY
EXAMINATIONS
EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS
AKS 300: MORPHOLOGY
AND SYNTAX
DATE: Tuesday zs" August 2007
TIME: 2.00 - 4.00 p.m.
AGIW:
Jibu maswali MA TATU yoyote.
1. (a) Fafanua dhana ya mofolojia.
(b) Eleza mchango wake katika lugha.
2. Bainisha waziwazi tofauti kati ya:
(a) lugha ambishi/lugha tenganishi
(b) mofunu huru/ mofimu changamano
3. Uundaji maneno nijambo linaloendelea. Fafanua.
4. (a) Taja mihimili minne ya nadharia ya Kimapokeo.
(b) Eleza umuhimu wa mihimili hiyo iliyotajwa.
5. Andika alama hizi kwa kirefu:
(a) KN
(b) KT
(c) KKV
(d) KKL
(b) Tunga sentensi zinazosheheni alama hizo hapo juu.
6. Fafanua kwa undani dhana hizi:
(a) Umilisi
(b) Muundo nje
(c) Ugeuzaji
(d) Sarufi elezi
??????






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers