Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Theories Of Literary Criticism Question Paper

Theories Of Literary Criticism 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2007



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2006/2007
END OF SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF
BACHELOR OF ARTS
AKS 302: THEORIES OF LITERARY CRITICISM
Date: FRIDAY: 27THJULY 2007
Time: 8.00 - 10.00 A.M.
MAAGIZO: Jibu maswali MATATU. Swali la kwanza ni la LAZIMA
1.
Kwa kuejelea fasihi ya Kiswahilijadili uhusiano uliop kati ya nadharia,
uhakiki na fasihi.
2.
Ni kwajinsi gani tamthilia ya Mflame Edipode (Sofkile) inaakisi sifa za
kirasmi za fasihi.
3.
"Euphrase kezilahibi ni mwandishi wa kidhanaishi". Kwa kurerelea ama
diwani ya Kichoani an riwaya ya Rosa Mistik~ toa maoni yalo. .
4.
"Nadharia mtazamo kike kisiasa zaidi kukliko ya kifasihi" kwa kutoa mifano
kutoka tanithilia ya Kilio cha Haki (A. Mazrui), jadili kauli hii.
S.
Huku utitoa mifano kutoka ama Babu Alipofufuka (8.S. Mohamed) au Bin-
Adamu (K.W. Mamitila), eleza sifa kuu za nadharia ya ulalisiajabu.
6.
"Tamthilia ya Kifo Kisimani (K. Mberia) imetungwa katika misingi ya uhalisi
wa kimamaa". Fafanua.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers