Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Language Skills In Kiswahili I Question Paper

Language Skills In Kiswahili I 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2009/2010
FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF
BACHELOR OF EDUCATION AND BACHELOR OF ARTS

AKS 101: LANGUAGE SKILLS IN KISWAHILI I

DATE: Monday 28th December 2009

TIME: 8.00a.m ? 10.00a.m

MAAGIZO:
JIBU MASWALI MATATU: SWALI LA KWANZA NI LA LAZIMA

1.
Fafanua machakato wa mawasiliano kikamilifu ukizingatia vipengee vyote vya

kimsingi (vya mawasiliano)

2.
Eleza maana na sifa tano za lugha ukionyesha nafasi yake katika mawasiliano

3.
Fafanua hatua na stadi unazotarajiwa kutumia katika kufanya utafiti wa maktabani

na kuandika repoti yake.

4.
Changanua vipengele vya hotuba na uonyeshe stadi za lugha anazohitajika kuwa
nazo
mhutubu
mfaulifu.

5.
Eleza hatua muhimu za uandishi wa muhtasari, na uonyeshe nafasi ya stadi hii

katika asasi mbalimbali za maisha.

6.
Tumia viakifishi vifuatavyo katika tungo muafaka na kishs ufafanue majukumu

ya kila kiakifishi kikamilifu:
a)
Doti
tatu
b)
Nusu-koloni
c)
Mabano
d)
Kihisishi
Page 1 of 1






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers