📘 Access 10,000+ CBC Exams With Marking Schemes

Prepare your learners for success! Get CBC-aligned exams for Grades 1–9, PP1–PP2, Playgroup and High School - all with marking schemes.

Browse Exams

Instant download • Trusted by 100,000+ teachers • Updated weekly

Second Language Learning Question Paper

Second Language Learning 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2007



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS
2006/2007
SECOND SEMESTER EXAMINATION
FOR THE DEGREE OF BACHELOR
OF ARTS
AKS 401: SECOND LANGUAGE LEARNING
DATE: Thursday 2nd August 2007
TIME: 8.00-10.00am
AGIZO:
Jibu Maswali MATATU Yoyote
1.
"Sababu zinazompelekea mtu kujifunza lugha ya pili huchangia pakubwa
kiwango cha umilisi anachofikia katika lugha hiyo". Jadili kauli hii.
2.
"Matokeo ya utafiti kuhusu kujifunza lugha ya pili yana umuhimu kwa makundi
ya watu mbalimbali". Fafanua kauli hii.
3.
Eleza mbinu zinazoweza kutumiwa kufanyia utafiti suala la mielekeo ya
wanafunzi kuhusu lugha ya pili.
4.
"Utaratibu wa kujifunza lugha ya pili hauwezi kufafanuliwa kikamilifu kwa
kurejelea nadharia ya Utabia". Jadili kauli hii.
5.
Huku ukirejelea mikakati ya mawasiliano, elezajinsi watu hukabiliana na
vikwazo mbalimbali vya mawasiliano katika lugha ya pili.
6.
Eleza mchango wa taaluma ya Isimu-jamii katika kufafanua masuala yanayohusu
kujifunza lugha ya pili.
=======================






More Question Papers


Exams With Marking Schemes

End Term 3 Exams

Mid Term Exams

End Term 1 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers