Theories Of Literary Criticism Question Paper

Exam Name: Theories Of Literary Criticism 

Category: Kenyatta University question papers

Exam Year:2007

KENYATT A UNIVERSITY
UNIVERSITY
EXAMINATIONS
2007/2008
FIRST SEMESTER
EXAMINATION
FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
EDUCATION
AND BACHELOR
OF ARTS
AKS 302: THEORIES
OF LITERARY CRITICISM
DATE: Tuesday, 27th November, 2007
DATE: 11.00 a.m. - 1.00 p.m.
MAAGIZO: Jibu maswali matatu. Swali la KWANZA ni la lazima.
1. Nadharia ni nini ? Kwa kurejelea fasihi ya Kiswahili, fafanua dhima ya nadharia
katika uhakiki wa fasihi.
2. Kwa kutoa mifano, tathmini umuhimu wa urasimi mkongwe katika kuhakiki fasihi ya
Kiswahili.
3. Riwaya ya Rosa Mistika (E. Kezilahabi) imetungwa katika misingi ya kidhanaishi.
Jadili.
4. Hakiki tarnthilia ya Kilio cha Haki (A. Mazrui) kwa kutumia nadharia mtazamo kike.
5. Linganisha na ulinganue nadharia za uhalisia na uhalisia wa kijamaa. Toa mifano
kutoka katika fasihi ya Kiswahili.
6. Ni nini ujumi mweusi ? Kwa kurejelea mawazo ya Leopold Sedar Senghor na Aime
Cesaire, fafanua mihimili mikuu ya ujumi mweusi.
***
More Question Papers


Return to Question Papers    
Quick Links
Kenyaplex On Facebook