Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Sociolinguistics Question Paper

Sociolinguistics 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
INSTITUTE OF OPEN LEARNING (IOL)
EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS AND
BACHELOR OF EDUCATION

AKS 400:
SOCIOLINGUISTICS

DATE: Wednesday, 12th August, 2009

TIME: 2.00 p.m. ? 4.00 p.m.
------------------------------------------------------------------------------------------------------------
MAAGIZO:
Jibu swali la KWANZA na mengine MAWILI.
1.
Fafanua mambo yanayofaa kuzingatiwa katika uteuzi wa lugha ya taifa. Tumia
mfano wa taifa la Kenya.
2.
Jadili maswala yanayoshughulikiwa na taaluma ya isimu-jamii.
3.
Fafanua mambo yanayoathiri uteuzi na matumizi ya lugha katika jamii.
4.
Bainisha mazingira ambamo matumizi yafuatayo ya lugha huweza kutokea:
a)
Pijini
b)
Sheng?
c)
Lingua ? franka
5.
Kwa nini hutokea kuchanganya na kuhamisha lugha katika mawasiliano?

6.
Lugha ya maongezi ya kawaida inatofautiana vipi na lugha inayotumiwa
mahakamani?
Page 1 of 1






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers