Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Oral Literature Question Paper

Oral Literature 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
SECOND SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
ARTS

AKS 403:
ORAL LITERATURE

=================================================================
DATE: TUESDAY 15TH SEPTEMBER 2009 TIME: 11.00 A.M. ? 1.00 P.M.
=================================================================
MAAGIZO

Jibu Maswali Matatu.
Swali la Kwanza ni la lazima.

1.
Jadili dhana ya fasihi Simulizi huku ukigusia wataalamu wasiopungua wanne.

2.
Eleza dhana zifuatazo katika muktadha wa fasihi simulizi.
i)
Kipera
ii)
Mighani
iii)
Semi
iv)
Mbolezi

3.
Tathmini majukumu ya nyimbo katika jamii huku ukitoa mifano mahsusi.

4. Jadili
mambo
manne
yanayokamilisha fasihi simulizi.

5. Bainisha
mitazamo
mitatu
mikuu ya kinadharia inayoweza kushughulikia fasihi
simulizi.

6.
?Fasihi simulizi ni utanzu usioweza kutumiwa kutatua matatizo yanayoikumba jamii

ya leo?. Jadili kauli hii.




=================================================
Page 1 of 1






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers