Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Phonetics And Phonology  Question Paper

Phonetics And Phonology  

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2007



KENYATT A UNIVERSITY
UNIVERSITY
EXAMINATIONS
2007/2008
FIRST SEMESTER EXAMINATION
FOR THE DEGREE OF BACHELOR
OF
ARTS AND BACHELOR
OF EDUCATION
A~§.~99.:
..r.H.Q~~J]~~.A~.V.
..f.HQ.~.Q"'.QgX
DATE:
Thursday 29th November, 2007
TIME: 8.00 a.m. - 10.00 a.m .
. MAAGIZO: Jibu maswali matatu: swali moja kutoka sehemu A na mawili kutoka
. sehemu B.
SEHEMUA
1. Bainisha wazi aina nne za konsonanti zinazojumuika katika kundi la vikwamizo.
2. Tofautisha kikamilifu, kwa maelezo na mifano, aina nne za sauti zinazojumuika
katika kundi la vifulizo.
(Alama 30)
SEHEMUB
3. "Kina cha silabi huwa na muundo bainifu." Thibitisha madai haya kwa kurejelea
maumbo manne yoyote ya silabi.
(Alama 20)
4. Jadili umuhimu wa mageuzi ya usimilisho wa sauti, huku ukizingatia matumizi katika
konsonanti na vokali.
(Alama 20)
5. Fafanua aina mbili za shada, kwa kulinganisha matumizi katika lugha mbili za aila
tofauti.
(Alama 20)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers