Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Contemporary Kiswahili Novel And Play  Question Paper

Contemporary Kiswahili Novel And Play  

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2006



KENY ATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2006/2007
FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
ARTS
AK~.~YJ..:
..~QNr~M.f.Q~A~XKlS.WAanJ.NQy.~~.ANp..r.l-!AX
DATE: Thursday s" February, 2007
TIME: 8.00 a.m. - 10.00 a.m,
MAAGIZO
Jibu maswali MATATU, swali moja kutoka kila sehemu.
SEHEMUVA 'A'
1.
Huku ukitoa mifano mwafaka, ainisha na ufafanue vipera na mikondo iliyomo
katika tamthilia ya Kiswahili.
2.
Jadili maendeleo ya riwaya ya Kiswahili tangu 1945 hadi 1970.
SEHEMU VA 'B'
3.
Ama Tathmini mandhini ya Uasi kama yalivyosaririwa na Jay Kitsao katika
tamthilia ya Uasi.
Au
Jadili dhima ya vijana katika tamthilia ya Kithaka Mberia ya Kifo Kisimani
4.
Ainisha kunga nne za kisanii zinazopatikana katika tamthilia ya Amezidi (S. A.
Mohamed) kasha uonyeshe jinsi kunga hizo zinavyotumiwa kufaulisha malengo
ya msann.

SEHEMU YA 'C'
5.
"Utubura ni sifa zote nzuri zinazomwajabikia binadamu". Fafanua kauli hii
ukizingatia dhima ya ufubwa mkulima katika riwaya ya utubura Mkulima ya
Shaaban Robert.
6.
Ama
Chagua mbinu nne za kusimmlia alizutumia Z. Burhani katika riwaya ya Mwisho
wa kosa na uonyeshe jinsi zinavyofaulisha au zinavyotatiza msuko wa riwaya
hiyo.
Au
Jadili kwa kina dhamira mbili anazoshughulikia Clara Momanyi katika riwaya ya
Tumaini.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers