Kiswahili Poetry Question Paper

Kiswahili Poetry 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009
KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2009/2010
FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS
AKS 402:
KISWAHILI POETRY

DATE: Monday, 21st December, 2009

TIME: 8.00 a.m. ? 10.00 a.m.
------------------------------------------------------------------------------------------------------------
MAAGIZO: Jibu swali la KWANZA na mengine MAWILI

1.
Fafanua mbinu za kisanaa kama zinavyotumiwa katika utunzi wa mashairi ya
Kiswahili.

2.
Utenzi wa AL ? Inkishafi unaafiki vipi sura za kimuundo za urasimi wa fasihi ya
Kiswahili?

3.
Fafanua kauli za Mwanakupona ambazo kwa maoni yako bado zina mashiko katika
ufanisi wa maisha ya ndoa.

4.
Mgogoro uliotokea katika taaluma ya ushairi wa Kiswahili ni sehemu ya maendeleo ya
utunzi. Jadili.

5.
Shaaban Robert alilishughulikia vipi swala la pesa katika mashairi yake?

6.
Jadili harakati zinazoweza kuleta mabadiliko katika jamii. Rejelea ushairi wa E.
Kezilahabi (Kichomi, Karibu Ndani na Dhifa).

7.
Kwa kurejelea AMA Sauti Ya Dhiki (A. Abdalla), Miale Ya Uzalendo
(K. King?ei) Au Bara Jingine (K. Mberia), onyesha namna swala la uongozi katika
Afrika huru lilivyoshughulikiwa.
Page 1 of 1

More Question Papers


Search for school, college and university past papers.

Return to Question Papers    
Quick Links
Kenyaplex On Facebook