Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Language Skills In Kiswahili Question Paper

Language Skills In Kiswahili 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2010



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2009/2010
INSTITUTE OF OPEN LEARNING
EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS AND
BACHELOR OF EDUCATION
AKS 101: LANGUAGE SKILLS IN KISWAHILI
DATE: TUESDAY, 20TH JULY 2010 TIME: 8.00 A.M. - 10.00 A.M.

MAAGIZO: JIBU MASWALI YOYOTE MATATU.


1.
Eleza dhana ya mawasiliano huku ukizingatia aina zozote Tatu za mawasiliano.

2.
Bainisha tofauti za kimsingi baina ya Lugha ya maongezi na ya maandishi.

3.
Bainisha sifa zinazobainisha na kutofautisha lugha ya matangazo ya kandanda na lugha

ya kisheria.

4.
Fafanua umuhimu wa kuzingatia herufi kubwa na alama ya uakifishaji katika maandishi.

5.
Eleza aina mbili kuu za barua na ubainishe waziwazi tofauti iliyoko kati ya aina hizo

mbili.

6.
(a)
Eleza aina mbili za marejeleo.

(b)
Andika marejeleo matatu kwa kuzingatia kanuni zifaazo za kuandika marejeleo.




******************
Page 1 of 1






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers